Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Kipigo cha 6-2 kutoka Yanga, kimewafanya Kagera kuwasimamisha wachezaji

on

Klabu ya Kagera Sugar ya Bukoba leo October 27 2016 imeripotiwa na kituo cha Azam TV kutangaza kuwasimamisha wachezaji wake wawili kwa tuhuma za kuhujumu timu hiyo wakati wa mchezo dhidi ya Yanga, uliomalizika kwa Kagera kufungwa goli 6-2.

Kagera Sugar imeripotiwa kuwasimamisha wachezaji wake wawili ambao ni golikipa Hussein Shariff na beki Eric Kiaruzi ambaye alisababisha kufungwa kwa goli la tano na Obrey Chirwa wa Yanga, hiyo ilikuwa baada ya kurudisha mpira nyuma kwa golikipa David Buruhani lakini ukanaswa na mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma.

CHANZO: Azam TV

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement