Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Rose Ndauka alivyotambulisha label yake na msanii wake wa kwanza

on

NI mwigizaji wa filamu, Rose Ndauka ambae 20, October 2016 anazimilika headlines kwenye mitandao mbalimbali baada ya kutambulisha rasmi label yake mpya Ndauka Music ambayo itasaidia kuinua vipaji vya vijana katika uimbaji.

Akizungumza na waandishi wa habari staa huyo aliyaongea haya>>>Nilikuwa na ndoto ya muda mrefu kusaidia vijana katika kazi zangu nashukuru muda kwa kufanikisha ambapo leo 20, October 2016 natambulisha rasmi label yangu iitwayo Ndauka Music na msanii wangu wa kwanza aitwae Casso’

‘Kwenye label yangu hii mpya tuna wasanii watatu ila kwa leo tunamtambulisha kwenu Casso ambae leo pia kwa mara ya kwanza ataachia video ya single yake mpya iitwayo Kitonga.wimbo umetayarishwa na producer Man Water naomba mashabiki zangu na mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva tumsupport Casso’

Unaweza ukabonyeza play ujionee jinsi Rose Ndauka alivyotambulisha label yake na msanii wake wa kwanza

ULIIKOSA HII YA VANESSA MDEE AKIELEZEA JINSI ALIVYOANDIKA WIMBO MPYA WA MAFIKIZOLO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement