Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Mahakama Kuu yatoa maamuzi juu ya Ubunge wa Ester Bulaya

on

Leo November 16, 2016 Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Ester Bulaya iliyofunguliwa na wapiga kura wa jimbo la Bunda dhidi ya aliyekua mgombea wa CCM Stephen Wasira imetolewa huku yake ambapo Mahakamu Kuu imempa ushindi na kumthibitisha Ester Bulaya kuwa Mbunge halali.

Maamuzi hayo yametolewa na Jaji Noel Chocha wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kwenye hukumu ya kesi iliyosomwa kwa takribani masaa manne huku Jaji huyo akiyataja mapungufu yaliyopelekea kuona kesi hiyo haina msingi ikiwemo kupungua kwa wafungua mashtaka kutoka 12 mpaka kubakia wawili.

whatsapp-image-2016-11-18-at-2-49-14-pm whatsapp-image-2016-11-18-at-2-49-24-pm

0498e267-f5f5-4f7d-80c7-b75a5856ccd3

Taarifa kamili zitakujia hivi punde hapa hapa millardayo.com na kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter na Instagram kwa jina hilo hilo millardayo.

VIDEO: Nimeipata hii ya Diwani wa Geita anayesemekana kuwa hajui kusoma wala kuandika, Tazama hapa

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement