Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Maamuzi ya serikali kuhusu vichwa vya treni visivyo na mwenyewe

on

Baada ya kupatikana kwa vichwa vya treni katika bandari kuu ya Dar es salaam visivyokuwa na mwenyewe, leo October 13, 2017 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa alifika bandarini hapo na kutoa maamuzi ya serikali kuhusu vichwa hivyo…

Waziri Mbarawa amesema …”Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imeunda tume ya watu 11 kuchunguza vichwa hivyo 15 vya treni ambavyo Rais Magufuli alivikuta bandarini vikiwa havina mwenyewe mwanzoni mwezi Julai, 2017 ili kama vitathibitika kuwa ni vizima serikali ivinunue

Endapo vichwa hivyo vikionekana ni vizima kwa mujibu wa uchunguzi utakaofanywa na tume hiyo iliyoundwa na serikali basi serikali itakaa chini na mmiliki kwa ajili ya kufanya biashara

Waziri Mbarawa baada ya kufika bandari ya DSM

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement