Biko


Tangaza Hapa Ad

fB insta twitter

Maneno 49 ya Ray ‘Vicent Kigosi’ kuhusu mtoto wake na Chuchu Hans

on

Leo Jan 18 muigizaji kutoka bongomovie Vicent Kigosi ( Ray) ambaye alikuwa akitegemea kupata mtoto hivi karibuni na mpenzi wake Chuchu Hans, ameweka wazi taarifa za kujifungua kwa Chuchu ambazo zilizushwa kabla ya Chuchu kujifungua, pia Ray aliandika yafuatayo..

> ‘Asante Mungu kwa kuniletea pacha wangu, asante my lovely Mzungu kwa kunipa heshima kubwa kunifanya niitwe baba, Mungu wangu wa haki asiyeshindwa na jambo akubariki sana, sasa msianze maneno yenu kwamba mwanangu amekunywa maji, mtoto bado mchanga maana watu wa Instagram kiboko lakini hawaishi mtoni’ Ray

ULIPITWA? Diva alivyowakutanisha Live Madee na Mama Makavaka? TAZAMA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement