Tangaza Hapa Ad

Mix

VideoFUPI: Ndoto ya RayVanny iliyotimia leo

on

Leo RayVany ametimiza moja ya ndoto baada ya kuzungumza na mtu ambaye alikuwa anamtazama kwenye TV toka akiwa mtoto. Ray Vany amepata nafasi ya kuzungumza na legendary wa muziki wa dansi, Yondo Sister ambaye alitamba miaka ya nyuma ambapo kupitia account yake ya Instagram RayVany amepost kipande cha video akimuimbia Yondo Sister na akayaandika haya…..

Mungu ni mwema alietupa nafasi hii maana haikua rahisi kutoka tulipotoka mtaani mpaka hapa tulipo.Leo Nimepata Nafasi ya kuzungumza na mtu ambaye nilikua namshangaa kwenye Tv leo hii nae anasikiliza mziki wangu legend @yondo_sister Pia kasema Amefurahishwa sana na wimbo wa #SHOWME Baada ya @richmavoko Kumtaja (kiuno ka yondosister) God is good all the time

 

A post shared by Raymond (@rayvanny) on

VIDEO: Babu Tale aliniambia nisitembee na Madee, niende Yamoto Band, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Tupia Comments

Advertisement