Tangaza Hapa Ad

AyoTV

AUDIO: Alichokizungumza RC Gambo baada ya taarifa zilizodai kutenguliwa kwake kusambaa

on

Leo August 19 2016 zimesambaa taarifa zilizomhusu mkuu wa mkoa wa Ausha, Mrisho Gambo, taarifa hizo zilidai kuwa Rais Magufuli ametengua uteuzi wa mkuu huyo wa mkoa hata hivyo ikulu imekanusha taarifa hizo kuwa hazina ukweli wowote.

RC Gambo wakati akiwa kwenye kikao na wafanyabiashara amelizungumzia hilo pia na kusema watu wapuuze taarifa zilizotolewa kwenye mitandao kwamba ametenguliwa kwenye nafasi yake na amesema  Rais amempigia simu  akamwambia anamwamini na ataendelea kukaa Arusha kwa ajili yakufanya kazi kwa ajili ya wananchi.

Unaweza kubonyeza play hapa chini

ULIKOSA MAELEZO HAYA YA RC GAMBO YALIYOSABABISHA MBUNGE LEMA KUSIMAMA NA KUMPINGA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement