Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Video: RC Makonda baada ya kutoa majibu ya Madaktari kwa aliyetobolewa macho

on

Leo October 7, 2016 Millardayo na Ayo TV zimepata taarifa ya majibu ya madaktari juu ya uchunguzi wa Macho ya kijana Said maaarufu kama Baba D ambaye alipata mkasa wa kushambuliwa na mtu anayefahamika kwa jina la Scorpion, kisha kutobolewa macho yote mawili hali iliyopelekea kutoona.

Jitihada zilizofanywa na Serikali ya mkoa wa Dar es salaam zikiongozwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda ili kuweza kumsaidia kijana huyo zilifanikiwa kumfikisha katika Hospitali ya Muhimbili ambako alifanyiwa uchunguzi wa kina ili kujua kama kuna uwezekano wowote wa kumrejeshea uwezo wa kuona.

ULIMISS HII YA KIJANA ALIYETOBOLEWA MACHO AKIWA ANAMSIMULIA RC MAKONDA ILIVYOKUWA SIKU YA TUKIO ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement