Tangaza Hapa Ad

Michezo

Mchezaji kamuua refa baada ya kuoneshwa kadi nyekundu

on

Mwanasoka wa ridhaa Mexico Ruben Rivera Vazquez anatuhumiwa kumuua mwamuzi wa mchezo baada ya kupinga maamuzi ya kadi nyekundu aliyooneshwa na muamuzi huyo kufuatia rafu iliyokuwa imechezwa, bado Vazquez anasakwa na Polisi

Kwa mujibu wa mtandao wa ww.rt.com refa anayetambulika kwa jina la Victor Trejo na mchezaji anayetambulika kwa jina la Ruben Rivera Vazquez alimpiga kichwa usoni na kusababisha kifo cha refa Victor Trejo katika mchezo huo.

Vazquez alimpiga kichwa refa Trejo baada ya kuoneshwa kadi nyekudu kufuatia kupinga maamuzi ya refa kutoa faulo iliyokuwa imechezwa na mchezaji wa upande wake, tukio hilo limetokea Mexico katika jiji la Tulancingo jimbo la Hildago.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement