Stori Pekee

hii ya bangi kuruhusiwa kisheria, cheki watu kwenye foleni kuinunua na maduka yenyewe yani.

on

bangi 1Hawa hapa juu ni baadhi tu ya wateja waliojinunulia bangi yao toka ipitishwe kisheria huko Colorado Marekani ambapo hii picha walikua wakiukaribisha mwaka mpya 2014.

bangi 9

Kwenye hii picha hapa juu na hii ya chini ni foleni ya watu wakiwa kwenye foleni kuingia kwenye duka la kuuzia bangi, hii ni foleni kwenye siku ya kwanza kabisa hawa walikua miongoni mwa wateja kwenye moja ya maduka ya kuuzia hizo bangi ambazo ziko kwenye ladha tofauti mfano strawberry.

Foleni ya kununua bangi mazee

Foleni nje ya duka la kuuzia bangi mazee.

Huko Colorado Marekani dawa ya kulevya aina ya bangi imeruhusiwa kisheria kuuzwa na kuvutwa lakini kununua ni lazima uwe na umri wa miaka 21, nimeona maduka mengi ukiingia kuna mlinzi mlangoni ambae ni lazima umuonyeshe kitambulisho.

Bangi hii inafungwa kwenye mfuko maalum ambapo hauwezi kufunguliwa kirahisi na mtoto mfano akiikuta mahali ambapo kuna duka moja niliona Wafanyakazi wanasema wamepata wateja zaidi ya mia tano toka bangi iruhusiwe siku chache zilizopita na wanayo bangi ya kutosha kwa ajili ya wateja wengine.

Denver prepares for marijuana legalizationHii picha hapa juu ni bango lililowekwa huko Denver Colorado kuwakumbusha watalii pamoja na wakazi kuhusu bangi kuruhusiwa kisheria pamoja na vitu vingine vinavyohusiana na hii ishu.

New Year Celebration

bangi 7

bangi 6Surrounded by a swarm of media in a small retail marijuana sales room, the first official recreational marijuana purchaser ,Sean Azzariti of Boston, reaches for his first marijuana selection handed over by store owner Toni Fox at the 3D Cannabis Center. Photograph: UPI/Landov/Barcroft Media

bangi 4Maduka mbalimbali yaliyo na kibali cha kuuza bangi.

bangi 3

bangi 2bangi 11

bangi 14

bangi 13

Tupia Comments