Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Usafiri wa reli Tanzania umesitishwa kwa muda

on

Kampuni ya Reli Tanzania TRL leo  January 13, 2018 imetoa tangazo kwa abiria wake kuwa inasitisha huduma ya usafiri kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini zilizosababisha miundombinu ya reli kati ya Kilosa na Gulwe kuharibika.

Kutokana na uharibifu huo umesababisha huduma za usafiri wa treni kusitishwa kwa muda kutokea Dar es salaam kwenda Dodoma ili kuwezesha ukarabati wa miundombinu hiyo kufanyika haraka.

Alichoongea Kamanda Muslim juu ya alama ya zebra

 

Soma na hizi

Tupia Comments