Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Mke wa Roma Mkatoliki kayaongea ya uhusiano na Ndoa yao…..

on

Mnamo tarehe 3, October 2016 ndio siku itakayokumbukwa na Roma Mkatoliki baada ya kufunga ndoa na mchumba wake  huko Tanga.

Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata Mama Ivan  ambaye ni mke wa msanii wa hiphop Tanzania Roma Mkatoliki anasema amejifunza mengi kwenye uhusiano wake pamoja na ndoa yao iliyofikisha mwaka mmoja.

Uhusiano una miaka saba na mwezi wa kumi tunatimiza mwaka mmoja wa ndoa yetu kwahiyo tunahusino wa miaka saba, kwanza kama mtu ana uhusiano na msanii ukubaliane na kile kinachomuingizia pesa kwani kuna kuingia studio nyakati za usiku wa manane pia kuna kwenda kwenye saa tisa za usiku, kwahiyo sisi tunaishi vizuri’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Roma Mkatoliki kuhusu uhusiano na Ndoa yao iliyofikisha mwaka mmoja

 KAMA ULIIKOSA HIZI KAZI AMBAZO WANAZOFANYA MA MANEJA WA DIAMOND BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement