Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Afisa Usafirishaji Arusha asimamishwa kazi kwa kushidwa kusimamia magari ya halmashauri

on

Mkurugenzi wa jiji la Arusha Athuman Kihamia leo December 5, 2017 amemsimamisha kazi Afisa Usafirishaji wa Jiji la Arusha Edward Moriko kwa makosa yakushindwa kusimamia magari ya halmashauri.

Kihamia pia amewasimamisha kazi madereva wawili waliopewa kazi na Afisa huo bila kuwa na mkataba ikiwemo dereva mmojawapo kuangusha gari la halmashauri

“Ndani ya masaa mawili awe amekabidhi ofisi, apewe charge ajibu ndani ya siku kumi na nne ili tuone hatua za kuchukua kuhusu suala hili” – Edward Moriko

Ulipitwa na hii? LIVE: Waziri wa Mambo ya Nje Augustine Mahiga anazungumza na waandishi wa habari muda huu

Soma na hizi

Tupia Comments