Tangaza Hapa Ad

VideoFUPI: Rihanna kaja Afrika, tazama alivyojifunga kitenge na kujiachia na Watoto leo


Ni furaha kuona Watu mashuhuri kutokea kwenye mataifa maarufu duniani wanapokuja Afrika na kufurahia uwepo wao kwenye bara hili ambapo leo tunae mwimbaji staa Rihanna anaeishi Marekani Rihanna ambaye ameitembelea Malawi.

Rihanna alionyesha kufurahia uwepo wake kwenye taifa hilo ambapo alionekana kwenye video fupi kajiachia kabisa kinyumbani pia akiwa kajifunga Kitenge na kucheza mpira na watoto hao

.

ULIPITWA? Tazama kwenye hii video hapa chini Show ya DIAMOND PLATNUMZ iliyovunja rekodi Marekani, bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement