Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Fiesta DSM ni J’mosi hii ila sitoisahau hii ya Roma na Stamina Mbeya


Msimu wa FIESTA 2016 ndio unafikia ukingoni kwa kuhitimisha na Dar es salaam November 5 yani Jumamosi hii, kabla sijatamani kujua ni kumbukumbu gani nitaachiwa na tamasha la mwaka huu Dar es salaam, nataka ujue moja ya mikoa ambayo sitosahau shangwe lake ni Mbeya.

Roma Mkatoliki na Stamina ni miongoni mwa Wasanii wanaobaki kwenye orodha ya wasanii niliotazama show yao mwanzo mwisho, walijipanga kwanza wote wakapiga suti na tai alafu wakaingia kazini… kitendo ┬ácha wao kuungana na kugonga ngoma zao pamoja ilikua kolabo ya siku pia vilevile, tazama hii video hapa chini

VIDEO: Private party ya Aunty Ezekiel kwenye birthday party itazame hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement