Tangaza Hapa Ad

Miji/Nchi

PICHA11: Muonekano wa nyumba za Mwanza zilivyojengwa juu ya mawe

on

Jiji la Mwanza ndio jiji la pili kwa kuwa na idadi kubwa ya watu ukiachana na Dar es Salaam, na sifa yake kubwa ni milima pamoja na miamba mikubwa ya mawe Rock City na kwenye hiyo milima kuna makazi ya watu wanaishi wamejenga nyumba tofauti na mikoa mingine ambayo utakuta watu hawajajenga milimani.

Kingine kizuri hadi huduma za jamii zipo maji, umeme kuna sehemu hadi Daladala zinafika, kama umezoea kuona majengo marefu pekee yake ya Mwanza leo nakusogezea muonekano wa nyumba zilizojengwa juu ya mawe Mwanza.

dsc_0280

dsc_0242

dsc_0360

dsc_0245

dsc_0274

dsc_0347

dsc_0251

dsc_0257

dsc_0241

dsc_0230

UMEYAKOSA MAGAZETI YA LEO? UNGANA NA ALICE TUPA KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

Tupia Comments

Advertisement