Top Stories

RPC “Ni zaidi ya unyama Mama katili amuua mwanae mpendwa kisa maembe”

on

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mwanamke mmoja aitwaye Rahel Matalaka (41), mkazi wa kijiji cha lugenge, kwa tuhuma za kumpiga hadi kumuua mtoto wake, mwanafunzi wa darasa la pili shule ya msingi Ikeleg, Wilayani Misungwi.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana, tukio hilo limetokea baada ya mama wa marehemu kuletewa malalamiko kuwa mtoto wake alikua akiangusha na kuiba maembe kwa jirani alipatwa na hasira na kumpiga mtoto kwa kutumia fimbo hali iliyopelekea mtoto kupoteza fahamu na baadae kufariki dunia.

“Alipoona mtoto amepoteza maisha alimchukua na kumtundika juu ya mwembe kwa kutumia kipande cha khanga ili apoteze ushahidi ili baadae ionekane kuwa amejinyonga” Kamanda Shana

Polisi ‘imewasukumia ndani’ ‘Mashoga’ kumi wakisheherekea ‘harusi ya kishoga’

Soma na hizi

Tupia Comments