Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Abby Skillz katuletea single mpya aliyomshirikisha Alikiba & Mr Blue…

on

Ni Headlines za Abby Skillz ambae October 28, 2016 ametuletea hii single yake mpya iitwayo Averina ambayo  amewashirikisha mastaa wawili wakali kutoka Bongoflevani Alikiba na Mr Blue.Wimbo huo mpya umetayarishwa katika studio za Chaidaz Records.

Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza wimbo huo mpya, pia usisahau kutuandikia maoni yako ili wakali hao watatu wakipita hapa waone mlichokiandika.

ULIIKOSA HII BIRTHDAY PARTY YA MWIGIZAJI AUNT EZEKIEL KILIVYOHAPPEN BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement