Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AUDIO: Sababu za Ben Pol kufanya collabo na Mr Eazi wa Nigeria

on

January 6 2017 msanii wa Bongofleva Ben Pol aliachia rasmi wimbo wake mpya aliyoshirikiana na Mr Eazi wa Nigeria, Ben Pol na Mr Eazi wamefanya collabo ya wimbo unaitwa ‘Phone’ producer akiwa ni Tiddy Hotter. Ben Bol ameeleza sababu za kufanya wimbo na Mr Eazi kuwa ni kujenga fan base upande wa Afrika Magharibi.

VIDEO: Baada ya kutua Airport DSM, Ben Pol kaeleza show yake ya Ujerumani ilivyoacha historia 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement