Top Stories

MREMA: “Afya yangu ni njema na bado nadunda

on

Leo January 9, 2018 Mwenyekiti wa Bodi PAROLE, Augustine Mrema ameeleza  kusikitishwa kwake na taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii leo kuwa amefariki dunia.

Kwenye interview na Ayo TV na millardayo.com amesema kuwa ni kweli alikuwa anaumwa lakini alipelekwa India kupatiwa matibabu ya saratani kwa msaada wa Rais John Magufuli na kwa sasa ni mzima kwani madaktari wamemwambia saratani hiyo imepona kabisa.

 “Namshukuru Rais kwani maisha ninayoishi ni kwa ajili ya msaada wake wa serikali yake kunitibia, hivyo nitakufa ila sio kwa watu wanavyotaka, nitakufa kama Mungu akiamua, waache tabia chafu.” – Mrema

Athari za mvua DSM, ashindwa kuonana na ndugu yake

TRA imefungia vituo vitano vya mafuta na kuwatoza wafanyabiashara faini milioni 580

 

Soma na hizi

Tupia Comments