Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha amelikamata gari la Kimotco linalofanya safari zake katika Wilaya ya Kiteto kwa kuzidisha abiria zaidi ya thelathini ambapo Mmiliki alidai kuonewa lakini leo baada ya gari yake kukamatwa alifurahia Polisi kufanya kazi.
RTO Arusha azuia gari “alilalamika tunataka rushwa, asituchafue amezidisha” (+video)
Leave a comment
Leave a comment