Tangaza Hapa Ad

Mix

Agizo jipya la Serikali Rwanda kwa Wahudumu wa afya wenye simu za mkononi

on

Serikali ya Rwanda imetoa agizo jipya kupitia Waziri wake wa Afya Dr. Diane Gashumba na ni baada ya kuona Wahudumu wengi wa Afya wanalalamikiwa kuharibu kazi.

Sasa kuanzia March 1 2017 Dkt Diane amesema Wahudumu wa Afya hawatoruhusiwa kuingia kazini na simu zao za mkononi na hiyo ni kutokana na utafiti kuonyesha kuwepo kwa huduma duni kunakosababishwa na matumizi ya simu binafsi kazini kwa mujibu wa BBC.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement