Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: “Sisi tumewafuata Tembo, tusiseme wanaleta njaa” – Marwa

on

Mbunge wa viti maalum CCM Agness Marwa ni mmoja ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma May 19, 2017 ili kuchangia bajeti ya Wizara ya Kilimo, mifugo na uvuvi ambapo kati ya vitu alivyozungumzia ni athari wanazozipata watu wa Serengeti kwa kukaa karibu na hifadhi.

VIDEO: Wazanzibari wasimulia upepo mkali uliowakumba wiki hii 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement