PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Msanii Bright aingia Shamba “Nina hekali kumi, nalima mpunga Morogoro”

on

Msanii Bright amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Ayo TV na milaardayo.com ya kwamba amekuwa akiwekeza kwenye kilimo cha Mpunga huko mkoani Morogoro ambapo amesema kuwa anazo hekali kumi zalizozifanyia uwekezaji wa hela ya kutosha.

PLAY hapa chini kutazama VIDEO Bright akielezea.

VIDEO: “Watu wengi wakipita wanashangaa sana Duka la Wema, wanakuja kuuliza”

 

Soma na hizi

Tupia Comments