PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Habari za Mastaa

Wolper alizwa na wezi “Wananirudisha nyuma walah”

on

Mwanamitindo na muigizaji Jacquline Wolper ameandika masikitiko yake yanayoashiria kuwa ni mtu aliyepata pigo baada ya wezi kumuibia licha ya kuwa hajaweka wazi kama kaibiwa nini lakini amekiri kuwa Wezi wamekuwa wakirudisha watu nyuma kutokana na uwizi wanaoufanya.

Wolper ambaye ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuwafanya mashabiki kubaki nakujiuliza maswali tofautitofauti ikiwa ni pamoja na je Wolper atakuwa kaibiwa Mpenzi au kaibiwa mali..? Wolper ameandika hivi..>>>“😳😳😳😳JesusπŸ™†β€β™€οΈ I can’t
Mungu nipe nguvu πŸ™” – Wolper

VIDEO: Tazara imenoga ishakamilika asilimia 90

Soma na hizi

Tupia Comments