Michezo

Ujumbe wa Samatta kwa waliotamani Genk ingepangwa kundi moja na Man United

on

Mchana wa August 26 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA lilichezesha droo ya kupanga makundi ya michuano ya UEFA Europa League, droo ilichezeshwa na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilipangwa Kundi FC na timu kama Athletic Bilbao ya Hispania.

WhatsApp-Image-2016-08-26-at-15.30.24

Makundi yote ya UEFA Europa League

Baada ya makundi kupangwa na KRC Genk kutopangwa na kundi moja na Man United, Samatta alitumia ukurasa wake wa twitter na kuandika ujumbe unaotafsirika kama ni utani, kwa mashabiki ambao walikuwa wanatamani Genk ipangwe kundi moja na Man United.

GOALS: TP MAZEMBE VS YANGA AUGUST 23 2016, FULL 3-1

Soma na hizi

Tupia Comments