Top Stories

“Huu ni uzembe, Serikali iangalie tatizo la kahawa”-Mbunge Bashungwa

on

Ikiwa leo ni August 8, 2018 ambapo Serikali inasherekea siku kuu ya wakulima nchini, Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa ametumia nafasi hiyo kuongea na Ayo TV pamoja na millardayo.com ili kuwasilisha kilio cha wakulima na wafanyabiashara wa zao la kahawa nchini ambalo amedai linasuasua.

Polisi feki waliokamatwa Dodoma, RPC Muroto akiwahoji maswalia

Soma na hizi

Tupia Comments