Tangaza Hapa Ad

Videos

VIDEO: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alivyohamia na familia yake Dodoma

on

Headline kutokea Dodoma ni pamoja na hii ya Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa kuhamia rasmi yalipo makao makuu ya nchi yaani Dodoma, hii inakuja siku kadhaa mara baada ya kusoma ratiba ya baadhi ya wizara zitakavyoanza kuhamia mkoani hapo kufuatia agizo la Rais Magufuli kutaka serikali yake yote ihamie Dodoma.

Kwenye hii video hapa chini nimekusogezea dakika kadhaa zikimuonyesha Waziri mkuu Majaliwa alivyopokelewa katika uwanja wa ndege mkoani hapo..

ULIMIS HII TAARIFA YA  CHADEMA KUHUSU MAANDAMANO YA UKUTA OCTOBER 2016 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement