Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 2: Simba SC imemalizana na Tshabalala

on

Wekundu wa Msimbazi Simba leo November 24 2016 imeamua kumalizana rasmi na beki wake wa pembeni Mohamed Hussein Zimbwe ambaye wengi wanamfahamu kwa jina la ‘Tshabalala’

Simba leo kupitia kwa Rais wao Evans Aveva wamefanikiwa kumuongeza mkataba mpya wa miaka miwili na nusu kuendelea kuitumikia klabu hiyo yenye makao makuu yake mtaa wa Msimbazi.

Kwa taarifa hizo sasa Tshabalala atakuwa mali ya Simba hadi mwaka 2019, hizo headlines zilizokuwa zinaenezwa katika mitandao ya kijamii kuwa nyota huyo ataondoka zimemalizwa rasmi leo.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement