Tangaza Hapa Ad

Mix

Vikwazo wanavyoendelea kukutana navyo watumiaji wa Samsung Note 7

on

Kampuni ya simu janja au Smartphone za Samsung pamoja na watumiaji wake wataendelea kuwa kwenye wakati mgumu kutokana na vikwazo vinavyoendelea kutolewa na taasisi za mashirika mbalimbali duniani kuhusu katazo la matumizi ya simu hizo zilizokumbwa na hatari ya kulipuka kwasababu ya matatizo ya betri zake.

Ripoti kutoka nchini Ujerumani zinasema kuwa Shirika kubwa la ndege za abiria la Ujerumani Lufthansa, limetangaza kupiga marufuku simu za mkononi aina ya Samsung Galaxy Note7 katika ndege zake kutokana na wasiwasi wa tishio la kiusalama linaloletwa na simu hizo.

Hii inamaanisha kuwa abiria wanaotumia mashirika mawili ya ndege za abiria ya Ujerumani hawataruhisiwa kuingia na simu za aina hiyo kwenye ndege hizo.

ULIMISS UFAFANUZI ALIOUTOA MBUNGE ALIYEDAIWA KULIPWA MISHAHARA MITANO HEWA YA UKUU WA WILAYA WAKATI AKIWA HANA NAFASI HIYO? ITAZAME HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement