Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Diamond Platnumz na Rayvanny wanatualika kuitazama hii ‘Salome’

on

Wakali kutokea kiwanda cha Bongofleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz pamoja na Raymond a.k.a Rayvanny wakitokea katika Laber ya WCB leo September 18 2016 wanayofuraha kushare na sisi mdundo wao mpya unaoitwa ‘Salome‘ 

Tayari nimekusogezea hapa chini video yao, ukimaliza kuitazama niachie comment yako kuniambia wametisha kwa asilimia ngapi.

ULIMIS YA ADAM MCHOMVU ALIVYOINGIA BUNGENI KWA MARA YA KWANZA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement