Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Sauti Sol wasema bado wamebakiza wengine kufanya nao collabo TZ

on

Ni October 27, 2016 ambapo kundi la muziki kutokea Kenya, Sauti Sol wamefunguka na kuwataja wasanii wa Bongo Fleva waliofanya nao collabo.

Kundi hilo likizungumza na millardayo.com & Ayo TV waliyasema haya>>>‘Diamond ni rafiki yetu kwahiyo kufanya nae collabo ni lazima,  kwanza ni msanii anayefanya bidii sana  pia wapo wasanii wengine tuliofanya nao collabo wakina Nahreel na Aika, Vanessa Mdee, Ambwene Yessaya pia tulifanya nae kitambo sana kwahiyo uwa tukikaa mipango inafanyika lini tuachie hiyo collabo’

Unaweza ukabonyeza play kuwasikiliza Sauti sol wakiwataja wasanii waliobakiza kufanya nao collabo Tanzania

ULIIKOSA HII YA SHAA KUHUSU MIPANGO YA KUSAINI WASANII WAKE WAPYA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement