Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Sauti Sol wameitaja video iliyowapa changamoto wakati wa maandalizi…

on

Ni kundi la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol  ambapo leo October 19,2016 wamefunguka kuhusu ugumu walioupata kwenye maandalizi ya video yao ya single iitwayo ‘Shake You Bam Bam’ ambayo iliongozwa na director Clarence Peters

Kundi hilo waliipa heshima millardayo.com & Ayo Tv na kuyaongea haya>>Ugumu ulikuwepo sana watu walikuwa wanafurahi kupita kiasi tulikuwa na watu wasiopungua kama 200 ilifika wakati mpaka polisi walikuwa wanakuja kwani ilikuwa ni kama party video tulishoot na director Clarence Peters’

‘Pili kumuelewesha mtu jinsi unavyotaka acheze tulikuwa tunachukua muda mwingi kuwaelekeza vile tulivyokuwa tunataka sisi kwahiyo changamoto zilikuwepo yaani mwisho wa siku video ikwa nzuri na tulishoot kwa siku moja’

Unaweza ukabonyeza play kuwasikiliza Sauti Sol wakizungumzia video iliyowapa Changamoto wakati wa kushoot

 ULIIKOSA HII YA JUX AELEZA SABABU ZA KWANINI DIAMOND HAMPOST INSTAGRAM  BASI ITZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement