PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Majibu ya Rais Magufuli juu ya ishu ya mapumziko na watu kulewa (+video)

on

Leo March 26, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amezungumza na wachezaji wa Timu ya Taifa ambayo jana iliibuka na ushindi na hivyo kupata tiketi ya kwenda AFCON.

President JPM amesema hakushangazwa baada ya kuona kwenye mitandao ya kijamii watu wakisema kwanini asitangaze leo iwe siku ya mapumziko.

“Sikushangaa kuona wengine wamelewa ndio furaha na Watanzania wanapenda furaha” Rais Magufuli

“Wengine walikuwa wanasema kwanini usitangaze kesho ikawa mapumziko, nikasema Watanzania na mapumziko jamani, ila sikushangaa ndiyo dhana ya kufurahi” Rais Magufuli

BREAKING: Taifa Stars na Mwakinyo walivyoingia Ikulu DSM

Soma na hizi

Tupia Comments