Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Mwanasheria Mkuu wa Kenya amejiuzulu

on

Stori kubwa kutoka +254 Kenya leo February 13, 2018 ni kuhusu Mwanasheria mkuu wa Kenya Prof. Githu Muigai amejiuzulu baada ya kuhudumu kwa miaka sita na nusu. Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa huduma zake na sasa jaji Paul Kihara Kariuki atachukua nafasi yake.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Uhuru Kenyatta ameandika hivi ”Nimepokea kwa majuto uamuzi wa mwanasheria mkuu Githu Muigai. Namshukuru kwa huduma yake katika kipindi cha miaka sita na nusu. Nimemteua jaji Paul Kiharara Kariuk”i ,

Mpina ameagiza Watendaji katika Wizara yake kusimamishwa kazi

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments