Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya Simba vs Mtibwa Sugar Septemba 11 2016, Full Time 2-0

on

Septemba 11 2016 Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea kwa michezo miwili kupigwa, uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Simba iliwakaribisha Mtibwa Sugar ya Morogoro kucheza mchezo wao wa nne wa Ligi Kuu, Simba imefanikiwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 52 na Laudit Mavugo dakika ya 66.

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement