Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Mmiliki wa Sea cliff Casino alivyofika kituo cha polisi kati baada ya kutajwa na Paul Makonda


Baada awamu ya pili ya majina 65 yaliyotajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwenye sakata la dawa za kulevya leo February 10 2017 mmiliki wa Sea Clif Casino ni miongoni mwa waliofika kituo cha polisi kati kwa ajili ya mahojiano.

VIDEO: Paul Makonda akitaja mbinu za kuingiza dawa za kulevya Tanzania, Bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement