fB insta twitter

‘Nimepoteza beats za nyimbo zangu zote’ – Joseph Mbilinyi ‘Sugu’

on

Kwenye taarifa za mitandaoni ambazo zimepewa nafasi kubwa ni pamoja na hii ya Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kutoa taarifa kwa yoyote ambaye anaweza kufanikisha kupata kwa instruments za nyimbo zake zote kwani anashindwa kufanya shows kwa hivi sasa.

Post yake ameandika>> ‘Taarifa: Nimepoteza beats (instrumentals) za nyimbo zangu zote, kitu kinachochangia nishindwe kufanya shows hivi sasa. Kama kuna yeyote anazo popote duniani naomba tuwasiliane kwa email yangu deiwaka14@gmail.com … Asanteni sana na nitashukuru sana kwani mtanisaidia kurudi jukwaani kitu ambacho nakimiss sana’. -Sugu.

Uliicheki Hotel aliyojenga Sugu Mbeya? 

Tupia Comments