Michezo

VIDEO: Man United walivyochukua point tatu na matokeo ya EPL August 27

on

Kama kawaida mtu wangu wa nguvu unaependa soka la England na kusogezea updates za mechi za Ligi Kuu England zilizochezwa August 27 katika viwanja tofauti tofauti, mchezo wa Hull City dhidi ya Man United ndio ulikuwa mchezo wa mwisho kwa siku ya August 27.

1

2

Mchezo huo ambao ulichezwa katika dimba la Kingston Communications linalotumika na Hull City kama uwanja wa nyumbani, lilikuwa gumu kwa Man United kuibuka na ushindi kwani, dakika za nyongeza ndio kinda Marcus Rashford alipoifungia goli moja baada ya kutumia vyema pasi ya Wayne Rooney kuifanya Man United iondoke na point tatu.

3

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments