Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Taa ya Dr. Shika yazidi kuwaka, kaandaliwa Tamasha time hii (+video)

on

Global Publishers wameiendeleza Trend ya Dr. Luis Shika ambapo baada ya kula vimeo vya matangazo na kutokea kwenye video za Bongofleva hapa na pale baada ya kujizolea umaarufu kwenye mnada wa nyumba za Lugumi, Christmas hii itakua nzuri kwake.

Global Publishers wamemuandalia Tamasha siku ya December 9 2017 DAR LIVE Mbagala na kuliita “USIKU WA DR. SHIKA, USIKU WA 900 ITAPENDEZA” ambapo Meneja wake Catherine Kahabi amesema hawezi kuongea mengi kwa sasa maana kila kitu kitakua ni suprise, tazama hii video hapa chini

BALOZI WA TANZANIA URUSI AELEZEA KUTEKWA KWA DR. SHIKA URUSI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

VIDEO: BOSS ALIEMPA DR. SHIKA DILI LA TANGAZO AONGEA “ILIKUA NIKATE TAMAA”

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement