Habari za Mastaa

Shabiki azimia baada ya kuitwa na Chris Brown (+video)

on

Shabiki mtoto huko Marekani ambaye alipata nafasi ya kusimama jukwaani wakati Staa wa RnB Chris Brown alipokua aki-perform, kabla ya kuzimia Shabiki huyo alikumbatiwa na CB na baada ya hapo alizimia.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Chris Brown amepost video hiyo ikimuonyesha mtoto huyo akizimia baada ya  kukumbatiwa na kusema kuwa alipata uoga baada ya tukio hilo “Nawapenda mashabiki zangu, lakini nilipata uwoga kwa sekunde, huyu mtoto ni legendary”

I LOVE MY FANS BRO❤️🙏🏽. I WAS SCARED FOR A SECOND😳💪🏽. THE KID IS LEGENDARY

A post shared by CHRIS BROWN (@chrisbrownofficial) on

Tukio kama hilo liliwahi pia kumtokea  Wizkid kutokea Nigeria alipokuwa akitumbuiza nchini Ghana katika tamasha la “Ghana meets Naija” June 9,2018 katika viwanja vya Fantasy Dome.

Steve Amesema Muna ameifedhehesha familia na Wanawake

VIDEO: SHOW YA DIAMOND ILIYOVUNJA REKODI MAREKANI, PROMOTA ASEMA HAIJAWAHI KUTOKEA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments