Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

PICHA 5: Scania ilivyofeli Breki na kuziba Barabara

on

Leo February 14, 2018 Gari aina ya Scania imepata ajali katika eneo Kilimatembo eneo la Karatu nakuziba barabara inayounganisha kati ya wilaya ya Karatu na mto wa mbu karibu mlima Rhotia hadi hivi sasa hakuna majeruhi huku chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni gari kukosa breki.

Naibu waziri wa Elimu Willian Ole Nasha ambaye ni Mbunge wa Ngorongoro wakati akiwa safarini kuelekea jimboni kwake amefika eneo hilo muda mchache baada ya ajali kutokea.

Kamanda Mpinga ametaja Waliokamatwa na Meno ya Tembo yenye Thamani ya Milioni 33

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments