Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA: Shilole kaanzisha biashara ya chakula, anakuletea hadi ulipo

on

Msanii wa Bongofleva ambaye alianza kufahamika kupitia filamu za Bongo Movie Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole, November 25 ameingia kwenye headlines mpya baada ya kuanzisha biashara ya chakula.

screen-shot-2016-11-26-at-3-20-36-am

Shilole kwa sasa ameanzisha biashara ya chakula ambapo utaratibu wake upo tofauti na Restaurant, kwa upande wa biashara ya chakula cha Shilole ‘Shishi Food Delivery’ utakuwa unaletewa ulipo kwa kupiga simu na kuweka oda.

VIDEO: Shilole alivyoolewa na Dereva wa Lori na kuletwa Dar kwa mara ya kwanza 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement