Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Startimes Ad
Home » Entertainment » Tazama hapa pichaz za utengenezaji video mpya ya Shilole New York Marekani na sikiliza pia single yake mpya

January Makamba - Tanzania Mpya

Tazama hapa pichaz za utengenezaji video mpya ya Shilole New York Marekani na sikiliza pia single yake mpya

1

Shilole ambaye bado nyimbo yake aliyoipa jina la Paka la Baa bado inafanya vizuri, lakini ametoa ngoma nyingine mpya inaitwa “Nakomaa na jiji”. Nyimbo hii ambayo Shilole  ameifanyia video akiwa Marekani na hivi karibuni video hiyo itatoka. Chukua dakika zako 3 kusikiliza wimbo huu mpya na ucheki picha akiwa ana-shoot video ya nyimbo hii huko New York.

clip_image001[8]_thumb[2]

clip_image001[10][4]

clip_image001[12]_thumb[2]

clip_image001[14]_thumb[2]

clip_image001[18]_thumb[2]

clip_image001[22]_thumb[2]

SAM_9872

SAM_9874

Tags :
Previous post link
Next post link
Scroll To Top