Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Hii ndio biashara mpya anayoifungua Shilole kwa sasa.

on

shiloleeeHit maker wa Nakomaa na Jiji Shilole ame-amplify taarifa za kuhusu kufungua mgahawa wake ambao ameupa jina la wimbo wake mpya uitwao  Chuna buzi cafe anatarajia kufungua mgahawa wake wa chakula maeneo ya nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na 255 ya Clouds Fm Shilole ameelezea kwa kuwa ana taaluma ya Hotel Management ameeleza kuwa mama yake alishawahi kuwa ‘mama ntilie’ kipindi cha nyuma,Shilole ameshawahi kufanya kazi sehemu kadhaa kama Peacock Hotel na Florida kwa sasa kila kitu kinaenda sawa muda wowote kutoka sasa anategemea kufungua.

Bonyeza play kumsikiliza Shilole akielezea mgahawa huo.

Tupia Comments

Advertisement