Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Shilole na mpenzi wake wahojiwa kwa Diva, Mahaba motomoto


Ni msanii wa bongofleva Shilole ambaye December 27 2016 alikwenda na mpenzi wake mpya na kuhojiwa kwenye Radio Show ya Ala za Roho CloudsFM inayofanywa na Diva, kwenye hii video hapa chini aliulizwa maswali kuanzia walivyoanza na mengine.

FULL VIDEO: Tazama Shilole na mpenzi wake mpya walivyojiachia kwenye birthday ya Shilole kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement