Biko


Tangaza Hapa Ad

Top Stories

DR. LUIS SHIKA: “Mimi sio MBAMBAISHAJI”

on

Bado jina la Dr. Luis Shika lipo kwenye vichwa vya habari na ni baada ya kuachiwa kwa dhamana na Polisi Dar es salaam jana ambapo alikamatwa wiki iliyopita kwa kuharibu mnada, mnada ambao alijinadi kununua nyumba za Bilioni 2 kumbe hana pesa mfukoni.

AyoTV na millardayo.com zimepata nafasi ya kumtembelea Dr. Luis Shika nyumbani kwake Tabata na kuwaambia Watanzania ambao hawaamini kwamba anamiliki Kampuni huko Russia kwamba yeye sio Mbabaishaji…. jionee mwenyewe kwenye hii video hapa chini

VIDEO: “NILITEKWA URUSI SABABU YA KUWA NA PESA NYINGI” DR. LUIS SHIKA

MWANZO MWISHO: DR. LUIS SHIKA ALIVYOJITAMBA MNADANI KWA KUNUNUA NYUMBA ZA BILIONI 2

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement