Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Niliwahi kutekwa Russia sababu ya kuwa na pesa nyingi” – DR. SHIKA (+video)

on

Baada ya kuachiwa na Polisi kwa dhamana November 14, Dr. Luis Shika ambae aliingia matatani wiki iliyopita kwa kuvuruga mnada ambako alijinadi kununua nyumba za Bilioni 2 alafu akakutwa hana kitu mfukoni, ameongea marefu.

Kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW na AyoTV na millardayo.com Dr. Luis ameelezea historia yake kwa ufupi toka alipokwenda nchini Urusi mwaka 1984 na kueleza jinsi alivyotekwa na watu wasiojulikana… ameeleza kila kitu kwenye hii video hapa chini.

MWANZO MWISHO: DR. LUIS SHIKA ALIVYOJITAMBA MNADANI “MILIONI 900” ITAPENDEZA… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

EXCLUSIVE VIDEO: DR. LUIS AONGEA BAADA YA KUTOKA POLISI “WHAT DO THEY MEAN” MTAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments