Top Stories

PICHA 5: Sheikh Ponda alipoachiwa huru na Mahakama Kuu leo

on

Moja ya stori kubwa leo December 18, 2017 ni Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaam leo imeamuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda katika rufaa iliyokatwa na Jamuhuri kupinga Hukumu ya Mahakama ya Morogoro iliyomuachia huru Ponda.

Millardayo.com imezinasa picha za Sheikh Issa Ponda akitoka katika viwanja vya Mahakama Kuu ya Tanzania.

 

RUGE “YAWEPO MAZUNGUMZO KATI YA MAPROFESA NA WAHITIMU WA DARASA LA 7 WENYE UZOEFU” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments