Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Hiki ndicho kitakachoonekana kwenye video mpya ya Shosteez waliyomshirikisha Ay.

on

DSC_0199Shosteez ni kundi linalomilikiwa na Producer Lamar ambapo January 22 2014 limeanza kushoot wimbo mpya ambao bado hata audio yake haijatoka ‘Tonight’ waliomshirikisha Ay.

millardayo.com inakupa nafasi ya kuwa mmoja kati ya watu wa mwanzo kushuhudia baadhi ya picha za utengenezaji wa video hii ya hawa warembo watatu wa Shosteez ambao ni Salma, Nuru na Meninah.

Director ni producer Lamar na video inatengenezwa na kampuni iitwayo Hefemi Studio ambayo makazi yake yamekua Marekani kwa kipindi kirefu.

DSC_0243

DSC_0211

DSC_0150

DSC_0151

DSC_0153

DSC_0155

DSC_0160

DSC_0188

DSC_0180

Tupia Comments

Advertisement